Wednesday, 27 November 2013

                Wami-Mbiki Society

Our Service Fees’ Menu


1) Breakfast-3500/- per pax
2) Lunch 16000/-Per pax
3) Maji/Soda 1500/-

Conference hall- 85,000/- per day

Car hires –USD 350 per day. Driver & fuel free only within 200 kms. More than 200 kms fuel charge will be born by the client.

Accommodation
·        Tz – tshs 20,000/- per person
·        Foreigner -USD 20


Camping with own camping equipments
·        Tz tshs 20,000/- per person
·        Foreign    USD 20

Entrance
·        Tz   Adult- tshs 3000/- per person
·        Foreign USD 20/- per person
·        Vehicle with tare weight up to 2000 tons –tshs 10,000/-


Please inform the office 12 hrs before you start your safari.


Attention: Contact us through:
                JUMUIYA YA WAMI MBIKI
Gharama za huduma zetu

1) Kifungua kinywa -3500/- Kwa mtu 1
2) Chakula cha mchana 16000/- Kwa mtu 1
3) Maji/Soda 1500/-

Ukumbi - 85,000/- Kwa siku

Huduma ya gari –dolla 350 kwa siku. Dereva na mafuta ni bure kwa kilometa 200. Zaidi ya kilometa 200 mteja utachajiwa gharama ya mafuta.

Malazi
·        Kwa mtanzania ni shilingi  20,000/- kwa mtu 1
·        Kwa raia wa kigeni - dolla 20 kwa mtu1


Kuweka kambi kwa kutumia vifaa vyako mwenyewe
·        Kwa mtanzania ni shilingi 20,000/- kwa mtu 1
·        Kwa raia wakigeni  dolla 20

Gharama ya kuingia getini
·        Kwa mtanzania shilingi -3000/- kwa mtu 1
·        Kwa raia wa kigeni 20/- kwa mtu 1
·        Gari lenye uzito wa hadi tani  2000 ni shilingi  10,000/-


Tafadhali toa taarifa saa 12 kabla kuanza  safari.





No comments:

Post a Comment